| ............. |
.
..
| Kwa
mradi au ushirika ili kuwa wa jamii, ni lazima ianzie kwenye jamii, na
ni lazima iwena wanachama, na kuwa na maamuzi yake binafsi (sera na uongozi)
yanayofanya na wanachama. |
. |
Kwa ushirika,
au mradi wa nje amabao upo tu ndani ya jamii, kamwe hauwezi kusema unamilikiwa
na jamii. pia kuomba ushauri kutoka kwa viongozi wa jamii hakuufanyi mradi
kuwa wa kijamii. |
..
| kuna
tofauti kubwa kati ya mradi unaomilikiwa na jamii, na uliopo katika jamii.
(mafano
kliniki, mradi wa uzalishaji mali) hiyo ni kwamba ipo kwenye jamii. |
....... |
Kuitwa mali
ya jamii, ni sawa ushirika, ujenzi, huduma nni lazima zichaguliwe na kuchujwa
na kuongozwa na jamii nzima (sio baadhi tu ya kazi). Cha msingi nikuwa
maamuzi yote yafanyike ndani na wanajamii hapo itakuwa ni mradi wa jamii. |
..
.
.
..
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|