| .............. |
.
..
| Ni
zaidi ya nyimbo na ngoma, ni sayansni ya jamii inayomaanisha namna nzima
ya kuishi na kujifunza mitazamo na tabia zinaziounda jamii husika. katika
nyanja zote sita kiteknolojia,
kiuchumi,
kisiasa,
kimchangamano,
kidini
na ki
ulimwengu. |
. |
Kiungo muhimu
cha tamaduni nialama "tamaduni" si jambo la kigenetiki, inapasishwa kwa
kutumia alama. na wakati mwingine inaitwa "superorganic"
sababu inatengenezwa na miundo ambayo inapasisha miundo ya kibaiolojia
na kutengeneza tamaduni. |
...
...
.
...
| Shirika
la misaada linapoomba ushauri kutoka kwa viongozi wa jamii au wawakilishi
huwa mara nyingi wanauliza kama jamii inahitaji mradi. najibu mara nyingi
huwa ni, "ndio" Shirika/mwakilishi anatoa ripoti kuwa kulikuwa na
ushirikishwaji wa jamii. hiyo si sahihi |
. |
Kilichotendeka
pale ni ushauri tu, sio ushirikishwaji wa jamii katika kufany amaamuzi
na kupanga juu ya mradi husika. (tofauti na matakwa ya shirika husika). |
.
.
| Thamani
inayokubalika na jamii: |
..
| Thamani
inayokubalika kipimo
cha jamii ni muundo
wa mawazo, wakati mwingine ni utata, kutokuwa makini au kujichanganya,
kwa mawazo ya watu kuhusu zuri au baya, uzuri au ubaya na nini ni sahihi,
nini si sahihi, katika kuelezea vitendo vyao. |
. |
kipimo
cha utamaduni.
Kipimo = kielelezo. angalia"Utamaduni."
kwa kujifunza; haupasishwi toka kizazi mpaka kizazi kwa kurithi. Itikadi.
Thamani.
Angalia
vipimo. |
.
.
...
|
Thamani a msingi
ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa jamii au
ushirika. Angalia: Elementi
za nguvu ya jamii.
|
.
| Hii
ni uwezo wa jamii kushikiana katika uthamani, hasa kuwa wakokatika jamii
inayowajali na kutimiza matakwa ya wanajamii wake. |
... |
Jinsi wanajamii
wanavyo shirikiana, au kuelewana na kuvumiliana katika thamani zao na mwelekeo
wao ndio jamii yao itakavyokuwa imara. Ubaguzi, uchaguzi, ushupavu vinaizorotesha
jamii. |
...
|
Unapoisisimua
jamii kujikusanya na kufanya jambo, mwezeshaji unahitaji kuwa macho na
kazi ya tamaduuni zao katika kuwawezesha wanajamii husika.
|
.
..
...
| Hili neno linatumika
katika kuelezea kazi za wanasayansi wa soshiolojia katika kuleta mabadiliko. |
. |
Mwezeshaji anajiingiza katika tiba
ya jamii |
.
.
.
.
.
.
.
...
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|